Kilichojiri Tanga hiki hapa

Kilichojiri Tanga hiki hapa

Joined
Sep 5, 2015
Posts
80
Reaction score
73
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.

Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.

Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.

Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.

#KutokaTanga
 
Umemaliza?

Tunamchagua huyo asiye na maneno mengi maana wenye maneno mengi kama chiriku ccm ndiyo waliotufikisha hapa.

Mwenye afya duni anajua kuumwa na hivyo ataboresha huduma za afya ambazo zimekuwa kero namba moja chini ya ccm.

Liwalo na Liwe, kura za Watanzania ni kwa UKaWA!.

Unalingine???????
 
Uzi unatolewa unaurudisha tena. Kweli unahangaika
 
Kura kwa lowasa..

Hivi kuna nini huku dodoma mbona mmeanza kuleta watu kwa malori..kwa hiyo watalala viwanja vya barafu na baridi yote hii
 
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.

Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.

Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.

Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.

#KutokaTanga

Ni afadhali ngiri anatumia akili kuliko weww
 
mbwa koko wewe,kazi kuokota majalalani na usiku kuvizi mbwa dume wa jirani
 
Mwenzako Celina Kombani kafukiwa jana kwa upumbavu kama huu wa kwako. I know its wrong but I cannot help myself being happy magamba yakifa, naichukia ccm na wanaccm mpaka najistukia.
 
Mccm bwana na akili zao finyu kama za funza. Jitu linakurupuka tuuuu.
 
Umemaliza?

Tunamchagua huyo asiye na maneno mengi maana wenye maneno mengi kama chiriku ccm ndiyo waliotufikisha hapa.

Mwenye afya duni anajua kuumwa na hivyo ataboresha huduma za afya ambazo zimekuwa kero namba moja chini ya ccm.

Liwalo na Liwe, kura za Watanzania ni kwa UKaWA!.

Unalingine???????

Mkuu hilo gamba linaangaika maana tanga ndio ilikuwa ndio ngome pekee ya ccm na baada ya kuona jinsi wana tanga wameamka na kuhitaji mabadiliko ya kweli ndio hilo gamba linabwabwaja tu kwa njaa kali
 
naichukia ccm mpaka nahisi kuugua!!!
Hata mseme nini,tumeamua ni mwendo wa mabadiliko tuuuuuuu!!!
Mmesababisha umasikini,ulofa na mengine mengi halafu mnataka tuwape kura????
Mppyuuuuuuuuuuuuuuw!!! Tunataka mabadiliko .period!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom