Duuh kwa Nini mirungi bei mkuu.Bangi na Mrungi hapo ndo vilevi vya matajiri, achana na hayo mauchafu mengine...japokuwa bangi pia masikini wanatumia
Bangi inavutwa hadi na maofsa mkuu, ni vile tu wanakuwa wamevaa masuti alafu wako na ma V8 huwezi kuwajua
Kuna I.O mmoja ana cheo cha juu sana, alikuwa akinituma kwa pusha nachukua hata ganja ya laki, ye havutii kwa pusha, anamokea kwake.
Ila katika vyote mrungi ndo unauzwa bei kuliko vyote alafu ni scarce.