Kilele cha miaka 43 ya CCM mbona sijawahi ona kwa Vyama vingine

maiyanga1

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,317
1,790
Mama Samia leo alikuwa mgeni rasmi kaika kusherehekea miaka 43 ya CCM. Kila mwaka CCM wamekuwa wakiidhimisha siku ya kuzaliwa chama chao.

Mbona sijawahi kusikia vyama vingine mfano, CUF, CHADEMA, TLP, ACT na vinginevyo vikiadhimisha siku za kuzaliwa vyama hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ndio chama pekee kilichozaliwa nchini ndio maana tarehe ya kuzaliwa kwake inajulikana lakini vyama vingine viliibuka tu na vitakufa kama vilivyoibuka.
 
Ukiadhimisha unapaswa kutaja na mafanikio uliyoyafikia, sasa chama kama Chadema kitasema kimefanikiwa kuendelea kuwa wapangaji Ufipa kwa kipindi chote cha uhai wake wa miaka 28
 
Ccm wanafanya kampeni, maazisho haya ni nchi nzima. Sina hakika wapinzani wanaruhusa kufanya mikutano kama hii ,watapewa sababu za ajabu mazuio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom