Wadau wa jukwaa hili, bila shaka mko vizuri mnafuatilia bunge la bajeti.
Kwa macho ya rohoni, ninaona kile kilifanyika CHADEMA, kitajirudia CCM.
Mtakumbuka kwamba Mh. TAL hakuwa na kusudi la kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama ila alilazimika kufanya hivyo kwa kuwa M/kiti aliyekuwepo muda huo, alitaka kumhujumu kwa kumletea Wenje ili amtoe kabisa kwenye mfumo.
Baada ya TAL kuona hana cha kupoteza, akaamua kujitosa kugombea nafasi ya Mwenyekiti.
Hivyo hivyo, naliona hili katika ulimwengu wa roho linakwenda kutokea hata kwenye chama tawala.
Mh. Gwajiboy hana cha kupoteza, hivyo sitashangaa kuona akichuana na M/kiti wake Sa100 kupeperusha bendera ya Urais wa JMT 2025.
MUNGU ibariki Tanzania,
Amin.