- Thread starter
- #41
Ok!Hakuna ulazima wa kuutangazia umma kama kulifanyika uchunguzi au la..!!!
Kwani zinapofanyika chunguzi mbalimbali unatangaziwa?
Inawezekana kuwa Mkuu alidanganya, ndio maana PM alimwambia hiyo msg aiweke kwenye official document, je unadhani mkuu alifanya hivyo?
Ulipata kujiuliza kwanini alitakiwa kifanya hivyo? Halafu ulitaka Muhongo ajisafishe kitu gani?
Sijui kwanini watanzania sisi ni wavivu kufikiria kiasi hiki,
Hizo tuhuma zilipelekwa ngazi ya juu (PM) kuliko yeye Muhongo, Na tayari alishatoa maelekezo kwa yule wakala nini cha kufanya ili kuthibitisha maelezo yake ili hatua stahili zichukuliwe, hapo ulitaka afanye nini? @Faizafox anawaulizaga watu sampuli yako, Huko shuleni mlienda kusomea ujinga?
Hayo ni mawazo yako kwa kadiri ya upeo wako wa kufikiri, hukatazwi unaweza kufikiri tena zaidi ya hapo, ila unachotakiwa kujua ni kwamba awamu hii mtaendelea kukosa hoja za kuhoji sana tu,
Ni vyema ukaitambua sasa rasmi le falsafa ya Mheshimiwa Rais. Aliposema HAPA KAZI TU, alimaanisha kazi kweli kweli.
Hoja zako ni sahihi!
Lkn point A. Kuna haja ya viongozi wa umma wanapofanyiwa maamuzi process ikawa wazi! Kwa mfano wote tuko kimya kuwa kilango alitoa data zisizo rasmi kwa kuwa report mbadala ni ya jopo la uchunguzi! Hata kama ni uongo lkn tunajua kuwa report ya Mkuu wa mkoa ilipotiwa na uchunguzi uliofanyika! Sio lazima kutangaza uchunguzi Ila ni jambo sahihi zaidi! Kwa stahili ya serikali hii laiti kama wangefanya uchunguzi wasingekaa kimya, sote tunajua! Mimi naondoa hiyo possibility!
Yes PM anaweza kuwa kesi ipo ktk level yake, lkn kwa PM maneno ya Mkuu wa mamlaka hayakuwa ya kushtaki Bali ni ya utetezi so anaweza asiyafuatilie sana kwa kuwa kwake ni utetezi dhaifu hivyo anajua hayata mpa excuse mshtakiwa! Kwa Muhongo yeye kwake ni shutuma kwa hiyo maamuzi ya mwisho juu ya ujumbe wa SMS ni muhimu kwa kuwa yanampotezea credibility!
Je wewe hushangazwi na uchunguzi wa SMS kwa serikali unatumia miezi yote hii? Bado sijaelewa falsafa ya kazi tu! Najua kazi bila brain ni sawa na upunda tu! Unaweza kubeba mizigo lkn kama hamna brain tutaendelea kufanya kazi tu milele, na tija haitokuwepo!Tuweke records labda siku moja hii mijadala inaweza kuwa sehemu ya mjadala![/QUOTE]