Wadau naomba tujadili bila ya jazba!
Naomba tuangazie kanuni anazotumia mh. Rais katika kusimamia misingi ya uadilifu na utendaji uliotukuka!
Hebu na tujikumbushe matukio haya mawili!
Serikali ilipanga zoezi la kushtukiza kutaka kutathmini idadi ya watumishi hewa, kwa bahati mbaya Mkuu wa mkoa akatoa taarifa za kupotosha na hivyo Mkuu wake wa kazi akatengeneza team kubaini ukweli na ilipogundulika amedanganya au kupotosha umma hapakuwa na simile ameondoka!
Miezi kadhaa nyuma, waziri Mkuu alifanya zoezi la aina kama hiyo kutaka kujua jinsi bandari inavyoleta hasara na sehemu kuu ni juu ya udhibiti wa bomba la mafuta!
Kwa bahati mbaya kuna waziri akamtonya mtendaji mkuu wa wakala wa vipimo afungue mtambo ambao ndio uliokuwa ukilengwa ktk ziara nzima!
Waziri alichofanya ni kupindisha ukweli na hivyo yeye pia hakuwa muaminifu kwa serikali! Akaachwa na hakuwajibishwa, labda alichpwa viboko vi5 hatuwezi jua lkn kesi yako haikwenda kwenye media!
Natamani mtu atueleze vigezo vya uadilifu kwa kesi 1 na 2 na hapa kwanini huyu wa kesi ya kwanza hakupewa hata sekunde na huyu waziri yeye apete tu!
Hivi ni kweli waziri ni muadilifu?
Kweli waziri wa aina hii ni wa kumuaminika?
Labda wenye ujuzi tuleteeni tathmini juu ya principles zinazo guide maamuzi ya baba mwenye nyumba!