Kila wikendi anataka nifanye nae mapenzi

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Binti mmoja (jina kapuni) mzuri wa viwango, nilimtongoza kanizungusha balaa. Kidume nikapotezea nikajua nimechezea za Uso. Baada ya wiki kupita, kanitafuta kwa Simu, akaomba tuonane ana kwa ana kuwa analo jambo la muhimu.
Nikaitikia wito. Stori aliyonipa ni kwamba yeye, hakuwahi kumpenda mtu, zaidi ya kutolewa bikra kwa nguvu (forced sex) na kijana mmoja waliyeishi nae jirani zamani hizo.
Hivyo akaomba mahusiano yangu na yeye yawe ya pole pole na si haraka kwani bado ana chuki na wanaume. Aliongea kwa uchungu, huku machozi yakimtoka. Baada ya kumbembeleza tulijikuta tukifanya mapenzi mimi na yeye bila kupanga tena kavu kavu. Baada ya tendo hilo hakuamini kilichotokea na aliondoka kwa uchungu mkubwa akidai na Mimi ni wale wale. Kiufupi sikumsoma. Iweje aingie King halafu ananilaumu.

Anyway nikapotezea, coz hata Simu zangu akawa hapokei, waka text hajibu. Nikatulia zangu. Baada ya wiki mbili akanipigia Simu, akiomba msamaha eti hakujielewa. Nikaona haina haja kuweka bifu na binti, nikapotezea. Maisha yakaendelea.

Sasa kila wikiendi akawa anakuja kwangu, tunagegedana, nikimpa mshiko anaukataa, hata nikimtumia vocha hazitaki wala Zawadi yoyote hataki zaidi ya mgegedo. Basi tumekuwa tukifanya hivyo kwa muda mrefu sana. Kitu kinachonishangaza hapa ni huo ujasiri wa binti kukataa tip kutoka kwa dume unatoka wapi?

Je, kazi yangu ni kugegeda tu na matumizi anatoa mwingine?
Au, nini kipo nyuma ya pazia

Nawasilisha, nisaidiwe kujua tabia hii maana yake nn?
 
Kama cjakosea atakuwa ni X geL wangu niliyempiga chin@so kaamua kuja kwako ili apunguze maumiv ya kumwaga@hata mm nilipojarb kumpa hizo tips unazosema anakataa alikataa piah na nilipouliza why anakataa anasema hajazoea na hajawah omba kitu kutoka kwa men#@cjip asilimia mia ka ndo yy ila ctory yako INA relate
 
Kama story ya kutolewa bikra kwa nguvu (forced sex) na jamaa fulani enzi hizo inamhusu pia x wako, basi ni yeye, kama sio basi wamefanana tabia mkuu.
 
Kifupi anasema alibakwa...
Mpe pole kw kubakwa na kama bado anamachungu akashitaki kama anaushahidi
 
Huyu atakuwa ameshakuachia VVU so anaona huruma kuchukua hata pesa yako

Kupima kamanda nilishapima nae kabisa, zaidi ya Mara tatu, last time ilikuwa September this year. She is HIV negative.
 
Kunatofauti ya mwanaume na mvulana. Mwanaume angechunguza kwa namna yoyote ile kujua hasa nini chanzo cha binti kukataa token kutoka kwake. Hii inawezekana ni tabia ya binti jinsi alivyolelewa japo yuko kwenye jamii ambayo vischana wengi ni matonya, yaweza kuwa alishapokea token huko nyuma ikamtokea puani hivo alijiapiza kutokutaka token fro men, could be anatoka familia bora na anajimudu zaidi ya unavyompa hivo huoni haja and may be ni msimamo tuu hata kama anahataji wa hela hachukui pesa yako.

Mvulana atawaza lazima huyu kichuna ana zee la nyeti linamtanua na kumtunza bora niachane nae kumbe she is innocent. Tafuta hela zaidi kijana, iko siku atakuomba hela tuu iwapo mtaendelea kuwa pamoja.

Halafu weka sawa hii.... unasema unamgegeda bure ulitaka akulipe yeye kila ukimgegeda?
Kwani wewe huwa hupati na husikii utamu mkigegedana? Au gogo?
 
Ivi unawajua wanawake wewe? au unawasikia? Ushauri wangu nenda kapima HIV?
 
Umeshazoea kugegeda vya kunyonga vya kuchinja vinakutoa povu
 
Wanaume bhana mkiombwa hela mnaanza kulalamika mabinti wa siku hizi ni omba omba na msipoombwa mnaanza kushangaa kwann sasa jema kwenu lipi??????!!!!
 
Ingekuwa anataka hela na gegedo hataki hapo ndio ingekuwa shida ila hela hataki halafu gegedo anataka mbona poa tu, au ulitaka apende vyote
 
Back
Top Bottom