Kila ukifika wakati wa kulala najisikia kuumwa

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
1,251
709
Habari zenu wana JF,

Mimi ninamatatizo ambayo yananikuta usiku tu nikifika kitandani kulala.

1.Macho huwa yanaanza kuwasha pindi nikifika tu kitandani wakati kutwa nzima nakuwa niko poa.

2. Mafuwa huwa yananiban sana nikifika tu kitandani kulala.

3. Meno.
N.B
Yote hayo huwa yanatokea siku tofauti yani mfano Leo yanakuwa mafuwa kesho macho siku nyingine meno.

Nilikuwa naomba msaada wenu nifanyeje ili nipate tiba ya haya magonjwa yanayo niandama usiku tu nikilala.
 
Habari zenu wana jf
Mimi ninamatatizo ambayo yananikuta usiku tu nikifika kitandani kulala
1.macho huwa yanaanza kuwasha pindi nikifika tu kitandani wakati kutwa nzima nakuwa Niko
powaa
2.mafuwa huwa
yananiban sana nikifika tu kitandani kulala
3.meno
N.B
Yote hayo huwa
yanatokea siku tofauti
yani mfano Leo
yanakuwa mafuwa kesho macho siku nyingine meno
Nilikuwa naomba msaada wenu nifanyeje ili nipate tiba ya haya magonjwa yanayo niandama usiku tu nikilala
Nenda Hospitali ukapime huenda una Presha ya macho ninakushauri pia uwe una jizoesha kabla ya kulala kunywa maji ya uvuguvugu glasi 1 kisha ndio ulale fanya hivyo kila siku kisha uje unipe Feedback.
 
Nenda Hospitali ukapime huenda una Presha ya macho ninakushauri pia uwe una jizoesha kabla ya kulala kunywa
maji ya uvuguvugu glasi 1 kisha ndio ulale fanya hivyo kila siku
kisha uje unipe Feedback.[/
QUOTE]
Haya asante kwa ushauri taanza leo
Nenda Hospitali ukapime huenda una Presha ya macho ninakushauri pia uwe una jizoesha kabla ya kulala kunywa maji ya uvuguvugu glasi 1 kisha ndio ulale fanya hivyo kila siku kisha uje unipe Feedback.
 
Allergy ya unapokaa! Especially kama umebadili mazingira hivi karibuni
 
UOTE="dist111, post: 15126219, member: 111208"]Allergy ya unapokaa! Especially kama umebadili mazingira hivi karibuni[/QUOTE]
Ni kweli mkuu maana nimehamia nyumba nyingine na eneo linguine kabisa ila Kule nilikokuwa nakaa mwanzon yalikuwa hayatokei kabisa haya
 
Back
Top Bottom