Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 305
- 1,166
Yaani huyo Manzoki anavyowatia watu wazimu utasema jamaa hakabiki, jamaa anajua sana, jamaa kila gemu akicheza hakosi mabao matatu, kumbe ni wa kawaida tu, najiuliza hivi wangekuwa wachezaji kama wale wabrazil wa Singida ambao hawakusajiliwa kwa mbwembwe lkn wanajua hatari na usajili wao haukuwa wa shida wala nini, ingekuwaje.
Kwanini Simba na yanga mnapotaka kusajili wachezaji mnadanganya kwenye magazeti halafu wakija hatuoni uwezo, hebu mcheki Joyce, mcheki Kambole, mcheki Ki Aziz, mcheki Bigirimana, mcheki Dejan, mcheki Akpan, mcheki Phiri, mfano Phiri aliteka akili za mashabiki kumbe wa kawaida mno, angalia wale wa azam, hamna kitu, hebu tuacheni ujinga, manzoki, manzoki wakat hata timu ya taifa hayumo huko kwao.