Kila siku Chadema na CCM

Usokitabu

Senior Member
Joined
Apr 23, 2012
Messages
107
Points
195

Usokitabu

Senior Member
Joined Apr 23, 2012
107 195
Members kila kukicha wanaongelea sana siasa za Chadema na CCM. Hoja nyingi unakuta hazina kichwa wala miguu, sasa mnapeleka ujumbe gani kwa wananchi? Watanzania hawali umwamba wa wakereketwa wa CCM na Chadema. Tafakari.
 

Forum statistics

Threads 1,392,169
Members 528,552
Posts 34,100,495
Top