Ukiwa na fikra ovu itakupelekea kufikiri ndivyo sivyo...dereva anamaanisha mashimo ya barabarani...hebu pata picha jinsi bajaji inavyokwepa mashimo inahitaji dereva mahiri kweli kwa maana ukikata kukwepa kwa kuliweka kati tairi la mbele linatumbukia!