Mpitagwa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 2,338
- 1,126
Mkuu, sikupi hongera wala pole. Nataka kukusaidia. Unatongozaje kwanza, maana kutongoza nako ni fani. Pili unajipatiaje riziki yako? Wewe ni imani gani ya dini? Wakati mwingine kutongoza kimya kimya kuna ujumbe mzito zaidi kuliko longolong. Inategemeana sana na mdada mwenyewe ni wa aina gani na umemjengea picha gani wewe. Ukiweza nipm