Shekuna
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 688
- 549
Wakuu, mimi nashindwa kuelewa inakuaje kila msichana nayemtongoza ananambia ana mtu.
Niko chuo mwaka wa kwanza hadi sasa nimetokea wasichana kama watatu ila kila mmoja ananambia ana mtu na kunitolea nje.Pia kabla ya kufika chuo ilikuwa hivyo hivyo.
Naombeni mawazo yenu wana MMU na mimi niko vzuri tu kimuonekano na nahitaji kuwa na msichana kwa sasa.