Kila ninayempata ni single mama

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,998
Reaction score
2,242
Huu ni mkosi naweza kusema ivo, mfululizo wasichana wanne wote ninaowapata nawakuta ni wazazi wa kujitegeme pasi kuwa na baba wanafahamika kama single maza, hivi hii dunia inamaana mabinti ambao wako fresh hakuna?

Hawa single maza ni mkosi kwa kweli, wanapelekea tunaonekana wazinzi sana (players) sababu kudumu na hawa viumbe ni ngumu kwani madhira yake wengi tunayajua!Sasa nimeamua, kila mtongozo lazima niwe nauliza status je ni single maza or not.
 
Mkuu utakuwa una nyota ya fisi yani kula makombo a.k.a leftovers. Wewe ni scavenger mkuu hutaki kujishughulisha kukimbiza viswala vidogo dogo unataka vya rahisi walivyo uwa wenzio.
 
Yawezekana wewe ndiyo tatizo,kwa nini uvutiwe na hao tu?
Uwezekano ni:
Umri wako mkubwa.
Ni mwoga kupigisha sound watoto wabichi.
Sana'a ya kutongoza duni.
Huna mvuto kwao.
Hivyo jitathmini!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…