fute alexander
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 382
- 148
Unajua unaposema imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana tayari ushatumialogic, kwa hiyo definition yakoya imani inatumia logic, na hivyo, ukisema kutaka kutumia logic kuthibitisha imani ni kufeli, wewe uliyeanza kui define imani kw alogic umeanza kufeli kabla yangu?imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana. uhalisia wa visivyoonekana...
unafeli unapptaka kuthibitisha imani kwa logic.
haithibitishiki kwa vithibitishio vyako, ila kwa vithibitishio vya imani husika hakuna chembe ya uongo ndani yake.
zile assumption na imani za kisayansi nyingi pia hasithibiki kwa vithibitishio vya kisayansi. mfano grobal warming kusababishwa na hewa ukaa.
kweli ni nini!!!Unajua unaposema imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana tayari ushatumialogic, kwa hiyo definition yakoya imani inatumia logic, na hivyo, ukisema kutaka kutumia logic kuthibitisha imani ni kufeli, wewe uliyeanza kui define imani kw alogic umeanza kufeli kabla yangu?
Unajua kwamba ninachotakakukithibitisha kwa logic si imani, imani unaweza kuamini chochote, bali ni imani ya kweli.
Kweli ndiyo inathibitishwa kwa logic,si imani.
Unaelewa tofauti?
kweli ni nini!!!
unatumia kigezo gani kusema kweli inathibitishwa na logic.
je kuna universally accepted definition ya kweli?
kwangu mimi kweli ni neno la Mungu.
hiyo sio universally accepted maana ya kweli ni relative definition maana kwa mjadala huu maana yangu ya kweli ni tofauti.Swali zuri.
Kweli ni kitu ambacho kinaweza kuelezewa bila ya kupatikana namna ya maelezo yake kujipinga (contradiction).
Mungu wako maelezo ya kuwepo kwake yanajipinga (the story of the existence of your God can be contradicted).
Hivyo, Mungu wako si wa kweli. Hayupo.
Kwa sababu maelezo ya kuwepo kwake yana contradiction.
Hata hiyo yako si universally accepted, so what is your point?hiyo sio universally accepted maana ya kweli ni relative definition maana kwa mjadala huu maana yangu ya kweli ni tofauti.
Neno la Mungu ndio kweli.
kitu kudhaniwa kuwa kinajipinga wenda ni matokeo ya ufinyu wa muhusika kukielewa.
kwa maana yako hiyo mimi na wewe Tutaelewana at Infinity
Kama ni kweli Yesu alipaa kuelekea juu mbinguni ambapo mashuhuda waliona kabisa kwa macho yao nadhani majibu kwa naswali ya mleta uzi yapo wazi tusiendelee kuumiza kichwa....!Mbinguni
Mkuu usiumize kichwa chako kutafuta mbinguni na alipo Mungu katika huu ulimwengu (universe) wetu. Mungu, mbingu, roho, peponi nk ni vitu vilivyopo kwenye ulimwengu wa kiroho na sio hii physical universe tunayoiona.Kila ninavyoitafakari mbingu kuna mengi ya kushangazwa,
1:mbingu imetengenezwa na nini?
2:Ni umbali wa kiasi gani ili kuweza kuifikia mbingu.
3:mbingu tunayoina Angani ndiyo ile mbingu tuliyoandaliwa kukaa tukifika mbinguni?.
Hakika mungu ni mwema na mwenye uweza wa yote katikati ya Fumbo hili na bado mbingu ipo lakini hakuna jibu la Mbingu ni nini?
Katika kila Hatua moja mbele kuna hatua moja zaidi ya kuifikia mbingu .
Je? Mbingu inayosemwa kwenye biblia ndio hiyo mbingu tunayoina kutoka Angani.?
Hakika mbingu ni makao yetu ya milele lakini mbingu hiyo tuliyoandaliwa ni mbingu ya Namna gani?
Nb; Hakuna haijuae kesho Fanya mema leo ili uweze kuitengeneza njia iliyo bora ya kwenda mbinguni.
mbinguni ni mahala halisi pa kugusika.
anga sio mbingu...
kwa waumini wa bibilia... wanaishi duniani kma wapangaji au wapitaji maana Yesu yuko anaandaa na kudesign maeneo ya wao kuishi milele
Duuuh mnadanganywa km vichaa bhanaKwa Mujibu wa Biblia wanadamu hawataishi mbinguni milele. Watakaa mbinguni kwa miaka 1000 tu. Baada ya hapo watarudi katika Dunia hii ikiwa mpya(Mungu ataiumba tena) tofauti na sasa. Then wataishi hapa duniani milele na milele ndani ya mji mtakatifu wa Yerusalemi, Mungu mwenyewe akiwa hapa hapa duniani. (See kitabu cha Ufunuo, sura za mwishoni)
Ule ni uongo mkuu wapo wanatudanganya danganya tu,inawezekana ukweli wa hatima yetu upo ila kuugundua ni shuhuri pevuHalafu hivi huyu Yesu ni nani alimuona akipaa, au nani ana uthibitisho ya kuwa alitumwa kutuokoa, maana kama ndivo basi haina haja ya kwenda kuabudu maana tunasubiri tuu ukombozi wa Bwana Yesu.
Mungu ameumba mazuri na mabaya ndio.Ila amempa mwanadamu utashi (intellect) ya kung'amua zuri lipi na baya lipi ili kuleta uwiano mzuri katika maisha.Na huyapeleka makisio hayo kwenye kunolewa zaidi ili yaende kwenye ukweli.
Tatizo langu si assumption. Tatizo ni, hizo assumptions zinarejewa na kuangaliwa kama zina makosa?
Mtu anakwambia habari ambayo ina inherrent contradiction kabisa, halafu unaiamini kama ukweli.
1. Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote.
2. Hivyo, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya yoyote, mabaya yoyote hayawezekani
3. Kwa sababu uwezo wa kuumba hivyo alikuwa nao, ujuzi wa kuumba hivyo alikuwa nao na upendo wa kuumba hivyoalikuwa nao, kwa nini hakuumba hivyo?
Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Bila ya kujibu swali hili kwa sababu za kueleweka, habari nyingine zote za huyu Mungu ni suspect, zinaweza kusemwa kwamba ni za kutungwa na watu, na huyu Mungu hayupo.
Maana dhana ya kuwepokwake ina a big logical flaw.
Alikuwa binadamu wa kawaida tu wala hastaabishi kwa chochote kwa nilivyofatilia stori yake,nyie mmemjua yesu akianza kuhubili wakt uo akiwa na miaka30 watu tupo tunamchipua nyuma uku toka miaka 6-na kuendelea alaf yesu alikua mweusi tii kama cc duniani tunafichana vingi sana asee siamini nayoyakuta.Ni bora ukaamini ili siku ya mwisho ata ikitokea yesu hayupo utakuwa haina cha kupoteza kuliko kutokuamini na mwisho ukakutana nae.
WHO IS GOD?!Mungu ameumba mazuri na mabaya ndio.Ila amempa mwanadamu utashi (intellect) ya kung'amua zuri lipi na baya lipi ili kuleta uwiano mzuri katika maisha.
Watakaochagua mabaya wataangamia na watakaochagua mema watadumu.In evolution tunaita natural selection in survival of the fittest.