Wakati walio chini upande wa pili wa dunia juu yao ni chini yako na chini yao ni juu yako.Si ijabu unaamini pia mbigu ipo juu.
Ni vema kutafakali vitu kama hivyo, ni vya mbali sana, kuliko siasa, hizo ni za hapa tu, kwa kifupi una mtazamo wa mbali, ubarikiweKila ninavyoitafakari mbingu kuna mengi ya kushangazwa,
1:mbingu imetengenezwa na nini?
2:Ni umbali wa kiasi gani ili kuweza kuifikia mbingu.
3:mbingu tunayoina Angani ndiyo ile mbingu tuliyoandaliwa kukaa tukifika mbinguni?.
Hakika mungu ni mwema na mwenye uweza wa yote katikati ya Fumbo hili na bado mbingu ipo lakini hakuna jibu la Mbingu ni nini?
Katika kila Hatua moja mbele kuna hatua moja zaidi ya kuifikia mbingu .
Je? Mbingu inayosemwa kwenye biblia ndio hiyo mbingu tunayoina kutoka Angani.?
Hakika mbingu ni makao yetu ya milele lakini mbingu hiyo tuliyoandaliwa ni mbingu ya Namna gani?
Nb; Hakuna haijuae kesho Fanya mema leo ili uweze kuitengeneza njia iliyo bora ya kwenda mbinguni.
MbinguniBaada ya Yesu kupaa alielekea wapi .....?
Na ndio maana nimeitafakari mbinguMbinguni tutakapoishi siyo lile anga unaloliona kule juu.
Na kosa hili wanalifanya hata wachoraji wa picha za Mungu,Yesu na Malaika.
Hata wanaanga wa NASA walipoenda mwezini miaka ya 60 jambo la kwanza kufanya lilikuwa kumtafuta Mungu na Paradiso na hawakuviona.
Mbingu ipo,ila iko wapi ilo swali mwachie Mungu.
Wanajua, ila basi tuVyema umemjibu
mbinguni ni nje ya universe na umbali wake haupimwi kwa km ni zaidi ya lightyears.Mbinguni tutakapoishi siyo lile anga unaloliona kule juu.
Na kosa hili wanalifanya hata wachoraji wa picha za Mungu,Yesu na Malaika.
Hata wanaanga wa NASA walipoenda mwezini miaka ya 60 jambo la kwanza kufanya lilikuwa kumtafuta Mungu na Paradiso na hawakuviona.
Mbingu ipo,ila iko wapi ilo swali mwachie Mungu.
Tuelimishe wengine kupitia waoWasumbufu
Wakati walio chini upande wa pili wa dunia juu yao ni chini yako na chini yao ni juu yako.
Antipodes Map - Tunnel to the other side of the world