Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 468
- 398
Ukiona hivyo ujue ziraili kakupangia ufe kwa ngoma. Ungeachana na zinaa ukasubiri, umpime bishosti na kufunga nae ndoa.
Kuna wimbo wa zamaniii itv (hawavumi) unaitwa kosa la marehemu. Nakudediketia
kha wanawake bwana kweli rahisi sana kutoa tamu kavu kavu...yaani wala hakubisha wee kumla kavu!?
huyo dada ana matatizo, anaweza kuwa na ngoma. kama hana matatizo asingekubali kavukavu. ni ajabu kwamba hata hakusita kupigwa kavukavu.habari za siku nyingi ndugu zangu?
Kwanza kabisa napenda kuwapapole mashabikiwenzangu wa MANGWEA pamoja na wapenda musiki wa kizazikipya hapa nchini maana tumempoteza jembe.(R.I.P MAGWEA).
Leo napenda niweke mezani jambo moja tu ambalo linanisumbua sana na limnianza siku za hivi karibuni baada ya kuachana na girlfriend wangu
issue iko hivi; Ni takribani miezi 2 imepita tangu niachane na girlfriendwangu na sasa hivi niko kwenye mahusiano na msichana mwingine,ila kitu kinachonishangaza na kuniumiza kichwa ni kwamba wikiend iliyopita tulikubaliana atakuja kwa home ili tubadilishane mawazo na atanipa ''TAMU'' mambo yalienda frsh kama tulivyokubaliana ila ishu ikawanzito pindi tulipojiandaa kuanza kusex maana goborelangu lilikuwa ready kwa kula tamu,ila tatizo likaja pale nilipoanza kuvaa condom maana nilishangaa kuona gobore limelala doro!
Nilijaribu mara kadhaa ila kila nilipovaa kinga lililala doroo!
Kwa kuona labda huyu msichana atanichukulia ndivyo sivyo nikaamua kula mzigo kavukavu na mambo yakawa bweee! (ila sasahivi najuta kwa maamuzi niliyochukua maana ndo mara ya kwanza nime do na huyo msichana tena kavukavu bila kujua back groundyake ilikuaje)
vilevile tatizo lingine linalo nisumbua zaidi ni kile kitendo cha gobore kusinyaa pindi ninapo vaa condom!
Wadau wenzangu hebu naombeni mawazoyenu kusuhu hii issue inatokana na nini?
habari za siku nyingi ndugu zangu?