Kila nikitaka kuoa naishia njiani

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,087
Reaction score
5,900
Wasaalam waungwana!
Kama kichwa kinavyo jieleza,hiko hvi kwanza mm nikijana msomi,very handsome then Nina baati ya kuwa na mahusiano na wasichana wazuri.
In fact tatizo langu ni kwamba kila nikiamua yakwamba sasa naoa,vikwanzo vinaibuka from no where,yani naweza kukaa na mshichana kwenye mahusiona hata kwa miaka2,but nikianza tu zile process za kumtambulishau ugovi unaibuka,au gofla namuona kama anifai,au msichana wangu akila usiku anaoto anapigwa na wasicha ambao hata hawafahamu akiambiwa kaambali na mume wetu,dah!!nikweli kunakimbini nilikuwa nateswa na majini mahaba but nilishafunga na kuomba sana juu ya hili and now nina almost 1year hilo tatizo halipo kabisa.
Nimesha uzuria katika makanisa ya kiroho sana.

Wadau nifanyaje bcoz kuna mtoto mmoja wa kiSpain,amekolea sana na nimeshapindua sana,sasa nifanyaje nisiishie kwnye process kama kawa.
 
Usihofu, handsome msomi, wakati ukifika utapata ndoa.
 
Kuhadithia on fleek!

Mkuu endelea na maombi na wahusishe na viongozi wa dini pia
Inaonekana kuna tatizo kweli

Best luck kwa mtoto wa kispain uyo
 
Hauna jini mahaba, sababu huyo jini mahaba asingekuruhusu kuwapindua sana wanawake wengine. tuliza kichwa ndoa si kukurupuka kijana kwa kigezo cha uhandsome, mtoto wa kispain au elimu.
 
Pole sana chaii ya oldadai. MUOMBE MUNGU ATAKUSAIDIA
 

Pole kwa yanayokukuta msomi wetu, nipe namba yake huyo mspain niwape ushauri
 

sawa msomi hendsam........
waambie hao majini waachane na wachumba zako.....wivu tu........
 
Mhhhh kwel una stelless[emoji2] [emoji2] maana huu uandishi wako nimeukubali


Nakushauri tu uzidishe maombi Mara kwa Mara hakika utafunguliwa
 

No wonder Mama Ndalichako anatafuta wasomi fake.
 
Kuna jamaa yangu mmoja nae ana hili tatizo ameishi na msichana miaka mi5 kitendo cha kuanza mipango ya kumuoa tu wakagombana dem kaenda polisi mara wameachana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…