Kila nikimtumia message lazima anipigie

Kila nikimtumia message lazima anipigie

Bro unatakiwa uache kuogopa wanawake b4 hujaomba namba mwambie kabisa swala unalolihitaji afu then muache achague kukupa no au laa coz sometimes its better kufanya mambo chap chap.
 
Kwema wakuu kuna dada mmoja hivi tumejuana juzi juzi nikamuomba namba akanipga.

Ila kila nikimtumia tuu message lazima anipigiee tuongee wee sasa hapa najiulizaa inakuaje yaaani.
Watoto wengi humu
 
Back
Top Bottom