Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

Wewe utakuwa ni kichaa, gharama zilizotumika kwenye huo mradi ni zaidi ya 10T ambapo kwenye gas na makaa ya mawe tungeweza kutumia si zaidi ya 2T hizi 8T zingejenga lami zaidi ya 8000Km hata kijijini kwa babu yako wangepata barabara ya lami.
Coal and natural gas are depletable source of energy.
Coal is also bad for environment it causes environment pollution.
 
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote, kuna watanzania wenzetu walipinga mradi huo na kutusaliti kwa wazungu ili mradi huo ukwame.

Mungu saidia Magufuli hakulegeza kamba wala kukata tamaa na mradi huo ukaendelea na sasa umekamilika na mashine moja imefungwa hivyo kupelekea kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa umeme uliokuwa unatesa wananchi na kuuwa uchumi wa nchi yetu.

Sasa ili kukomesha tabia ya watanzania wenzetu kusaliti na pia ili kuongeza uzalendo kwa nchi yetu wanasiasa waliohamasisha wananchi kupinga mradi huo wasiruhusiwe kutumia umeme kutoka bwawa la Mwl nyerere.

Wanasiasa hao ni Tundu Lisu, Nape Nnauye, January Makamba, God bless Lema, John Heche, Freeman Mbowe, Sugu, Peter Msigwa, Martin Maranja Masese, Prof Muhongo, Zito Kabwe. Na wengine wengi ambao tutaendelea kuwataja.
Ni mapema sana kuanza kupongezana mkuu
 
Tujifunze taratibu hilo bwawa ni mapema kuiongelea value for money na productivity yake!!
SWALI; Yamewekezwa ma trilioni ya fedha Jee, yamesharudi??
Ujinga ni mzigo mzito saaana kuubeba japo nirahisi kuupata...akili na ujinga ni kama pesa na Mafi kimfuatano(respectively)
Hajielewi, pesa ya miundo mbinu inarudi sio kwa bills bali faida mtambuka katika minyororo ya uzalishaji na biashara
 
Tujifunze taratibu hilo bwawa ni mapema kuiongelea value for money na productivity yake!!
SWALI; Yamewekezwa ma trilioni ya fedha Jee, yamesharudi??
Ujinga ni mzigo mzito saaana kuubeba japo nirahisi kuupata...akili na ujinga ni kama pesa na Mafi kimfuatano(respectively)
Mbona ww ndo mjinga namba moja

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Tujifunze taratibu hilo bwawa ni mapema kuiongelea value for money na productivity yake!!
SWALI; Yamewekezwa ma trilioni ya fedha Jee, yamesharudi??
Ujinga ni mzigo mzito saaana kuubeba japo nirahisi kuupata...akili na ujinga ni kama pesa na Mafi kimfuatano(respectively)
Yawezekana wewe ndio mjinga Yani pesa zirudi kabla mladi haujaanza kazi?

Umeme unaozalishwa Kwa maji production cost ni zero kwahiyo Tanesco watakuwa wanavuna faida tu

Vipi mabwawa mengine kama kidatu , nyumba ya Mungu na mengine Hadi Leo gharama zake hazijarudi?

Au Kwa sababu hili la Mwalimu Nyerere limejengwa na Magufuli ndio maana gharama zake hazitarudi?

Mashine zote zikiwashwa katika lile bwawa unaweza ukazima vyanzo vingine vyote vya umeme hapa nchini na watu wakatumia umeme bila ya shida yoyote na mwingine ukabaki

R.I.P Magufuli
Ni watanzania wenye akili tu ndio walikuelewa
 
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote, kuna watanzania wenzetu walipinga mradi huo na kutusaliti kwa wazungu ili mradi huo ukwame.

Mungu saidia Magufuli hakulegeza kamba wala kukata tamaa na mradi huo ukaendelea na sasa umekamilika na mashine moja imefungwa hivyo kupelekea kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa umeme uliokuwa unatesa wananchi na kuuwa uchumi wa nchi yetu.

Sasa ili kukomesha tabia ya watanzania wenzetu kusaliti na pia ili kuongeza uzalendo kwa nchi yetu wanasiasa waliohamasisha wananchi kupinga mradi huo wasiruhusiwe kutumia umeme kutoka bwawa la Mwl nyerere.

Wanasiasa hao ni Tundu Lisu, Nape Nnauye, January Makamba, God bless Lema, John Heche, Freeman Mbowe, Sugu, Peter Msigwa, Martin Maranja Masese, Prof Muhongo, Zito Kabwe. Na wengine wengi ambao tutaendelea kuwataja.
Kwenye siasa kila unapopinga na kufautiana na watawala ndio unasikika zaidi.
 
Mataifa mengine mbona wanatumia, kwamba sisi ndiyo tutakuwa wa kwanza?
Tukirejea kwenye post yako kuhusu gharama.
Hizo depletable sources huoni miaka michache tutarudia kutengeneza vyanzo vipya vya umeme itakuwa hatujakwepa gharama kubwa?
Rejea:

Back
Top Bottom