Kila nikifuta messages zinarudi tena

Kila nikifuta messages zinarudi tena

Joined
May 8, 2012
Posts
29
Reaction score
4
Naomba msaada wenu wakuu na wataalam wa JF.

Simu yangu ni tecno p3, sasa kila nikizifuta messages baada ya muda huwa zinarudi zote kana kwamba zijazifuta, na nimefanya hivi zaidi ya mara 10. Tafadhali sana wakuu na wataalam naomba mnisaidie.

Natanguliza shukrani za dhati kwa msaada wenu.
 
Back
Top Bottom