Kila nikifikiria natetemeka tu

Wifi anaanzaje kuja na rafiki yake hadi rafiki alale hapo?mbaya zaidi ukiwa haupo!!!
Nyumba lazima iwe na utaratibu.
 
Una wivu sana !!una lalamika mno
Embu jifunze kuchukulia baadhi ya vitu kawaida tu.
 
Sitaki kukuumiza dada ila ukweli hiyo hali si ya kawaida, umewekwa gizani, nahofia wifi amemuunganishia rafikiye kwa mumeo, 87% uwezekano wa kusex ye na rafikiye
 
happy amos mama nakushauri hilo lisikufikirishe wala usionyeshe kua limeukwaza.
Lipotezee kabisaaa as long as ushauliza na ujumbe shemeji ameupata. Ukirudi kua normal kabisa hata shemeji akilikumbushia mwambie yameisha hutaki kuyaongelea
Kuhusu wifi kutokutoa taarifa mpotezee yani alija kwako mhudumie na fanya kila kitu yani usiwaulize acha wao ndio wajiulize kwanini umeamua kulikalia kimya.
Kama kuna uchafu wanafanya nyuma yako utajua tu.
 
Wifi yako si mtu mzuri,amemtafutia kaka yake mchepuko
 
mlambe tigo yke
 
Pole sana...

Wasi wasi ndiyo akili...

Nadhani ni wivu kwamba,yeye hakutoi out ila wengine ametoka nao...


Cc: mahondaw
 
acha kutengeneza mambo yasiyokuwepo, jifunze kutokutengeneza matatizo kwenye mawazo yako.
 
Dada zetu huwa wanatabia ya kutupatia "loose ball".
Anakuletea mpaka ndani kazi inabaki kwako tu.
On a serious note, urafiki wa karibu wa wifi yako na huyo rafiki yake una sababu kubwa.
Dada hapo ni geresha tu, mgeni hapo ni wifi yako huyo rafiki yake amekuja kwa bwana ake.
Pole Sana maana ukiendelea kujiuliza maswali utavuna mabua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…