Joel Johansen
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 242
- 319
Guys,
Mwenzenu siwezi kuingia ofisini bila kutupia kilevi kwasababu nina tatizo la kiafya; msongo wa mawazo uliokomaa unaopelekea maumivu makali ya kichwa. Hivyo ili niweze kufanya chochote kwa ufanisi lazima nivuruge ubongo kidogo...huwa nakuwa more motivated na napiga mzigo hadi nasahau lunch time.
Juzi kati nilianzisha mahusiano na staff mmoja ambae tukawa karibu kiasi cha kuwa informer wangu. Sikuamini aliniambia kuwa huwa ninanuka pombe, hivyo kuna uwezekano kuna baadhi ya staff washajua mchezo wangu (wa kuweka kilevi kwenye chupa ya maji).
1. Nifanyeje kukata halufu ya kilevi?
2. Nifanyeje staff na boss wasijue mimi ni mlevi?
PS: Nikitia kilevi huwa nakuwa mchangamfu sana, na hata bosi akinigombeza huwa namchekea tu maana huwa sijielewi...kwa ufupi when I'm drunk everyone is my friend instantly.
Onyo: Sitaki ushauri wa kuacha pombe...nahitaji ushauri kwa swali namba 1 & 2 sawasawa na jinsi ulivyoelewa swala langu. I hope people are descent enough to undertand what I just want to hear.
Regards.