Kila nguo za mademu siku hizi lazima ziwachore ule mstari wa pichu

zama za mawe watu walikuwa wanaishi uchi ila wanaume waliamua kufanya kazi sio kufanya ngono
walipoona uchi unakera wakawatafutia nguo ili waconcetrate kwenye kazi

wabongo sijui tunakosea wapi ?

nb:sio msimamo wangu
uchi unavutia ukiwa ndani mkuu bora kutembea uchi kuliko kuturingishia kwa mchoro
 
Nguo wanazovaa mademu siku hizi ni kiboko ,nikikaa zangu hapa kwenye kakibanda kangu ka kiepe nawapimia vile mistari ya chupi inavyojichora vyema kupitia kwenye makinikia yao,


Yaani nguo zao za siku hizi lazima ziwachore tu wananiumiza hatari aisee


Zero Nitapona kweli mwaka huu unaokuja?

Cc Zerp IQ
"Zero Nitapona kweli mwaka huu unaokuja?"
Kwani ww mzima??!
 
Back
Top Bottom