Kila mwanamke ana side mbili

Me ninavyojua NDOA NI MCHAKATO KAMA MICHAKATO MINGINE
 
Umepitiwa na Mabaharia kama wote alafu ndiyo unakuja kuolewa hapo ndipo tabu inapoanzia
 
namimi nimeamua kuna mtoto mmoja hata anilambe miguu simtaki tena kutokana na sarakasi anazoniletea... najua ananielewa namimi namuelewa ila sarakasi zake zimenishinda
 
Juzi kati nalazimishwa numuoe binti flani kisa nimempa mimba,.

Nimeruka spidi 100%
Roho inakataa kabisa
 
Bibi zetu na mama zetu walikuwa wanaolewa na hata mtu asiyemjua. Silaha kubwa ni kutambua huyo ndio mumeo unapaswa kumuheshimu.
Tafakari....
Ni kweli, but kuolewa na mtu ambaye humpendi kabisa ni changamoto mkuu, ndyo mwanzo wa kusalitiana pia kama huko nje kutakua na unayempenda ujue, alafu kile ni kifungo cha Maisha,Bora ufungwe na unayempenda/mnapendana aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…