Kila mwana CCM ni msemaji wa serikali?


We ni mjinga kweli
 
Inawezekena umetekwa na mahaba tu. Umri wa CAG kuzidi vyama halikutokea kuwa ufumbuzi. Hata slip opera Polisi na Pccb haikuwa kuleta maana yoyote na kuzuia au kupunguza ubadhirifu. Kubeza kelele za upinzani ni kukosa maono. Serikali nyingi za Kiafrika zinapata taabu sana kwa sababu ya kukosa maono. Nchi inaongozwa na watu wa kada na taaluma tofauti. Watu hapo hawawezi kuwa kwenye vyama tawala tuu. Nawe unaangukia hapo. Suala la umri huhitaji kulijadili kwani unaweza nusu au robotatu ya umri wangu, au vice versa hiyo siyo tatizo.
 
Kweli wapinzani yao ni kelele, fujo kutoka nje na kutukana hapo sikupingi. Napopinga mimi ni kutuambia hayo wafanyayo yanasaidia hilo nakataa. Kwa kuwa umri na akili yako huvutiwa na hizi kelele ngoja nikupe pole.
Wabunge wa ccm ndio wanaofanya uamuzi bungeni. Uamuzi unaweza kuwa mzuri au mbaya kwa mujibu wako lakini ni uamuzi uliofanywa na wabunge wa ccm. Wapinzani huwa wanatoa michango yao lakini wanaofanya uamuzi ni wabunge wa ccm. Ukibisha hili utakuwa mtu wa ajabu sana.
Hakuna hoja wanayochangia wanachadema dhidi ya matumizi ya serikali isiwe imetoka kwenye vitabu vya CAG. Hivyo upinzani kufichua uovu ni uongo bali huwa wanashabikia kazi ya CAG.
 
Si CCM inawalipa 7000 kwa siju
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…