kila munu ave na kwao

Nitafutie binti wa kimakomde aiseee, dah ntakuona wa maana Kweli aiseee Dah
 
Mwenye uelewa wa hii michoro atuelimishe tafadhali
 
mzee ana macho mazuri balaa
 
Katika simulizi za mababu wanasema wamakonde kujichanja kuliwasaidia kutokwenda utumwani, waarabu na wazungu hawakupenda kuchukua watumwa waliokua na chanjo.
 
kwel kabisa
ila kuna mambo kama
kuonekana jasiri
mrembo

Katika simulizi za mababu wanasema wamakonde kujichanja kuliwasaidia kutokwenda utumwani, waarabu na wazungu hawakupenda kuchukua watumwa waliokua na chanjo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…