Kila mtu, Mtu, Mtu na Hakuna mtu.

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
kulikua na watu wanne waitwao Kila mtu, Mtu, Mtu na Hakuna mtu. Kulikuwa na kazi muhimu kufanywa na kila mtu alikuwa na uhakika kila mtu angeweza kufanya kazi hiyo. Kila mtu angefanya kazi hiyo, lakini Hakuna mtu alifanya hivyo. Mtu alipata hasira kuhusu hili, kwasababu ilikuwa ni kazi ya kila mtu. Kila mtu aliwaza kuwa Kila mtu anaweza kufanya hivyo lakini Hakuna mtu aliyetambua kwamba kila mtu asingefanya hivyo. Na mwisho iliishia Kila mtu kumlaumu Mtu wakati Hakuna mtu aliyefanya chochote ambacho Kila mtu angeweza kufanya. ……mwisho wa hadithi!!!!

Tafakari na utoe majibu............bongo ya sasa inakwenda wapi
 
sasa hivi kila mtu anamlaumu mwenzake na huku tukitegeana wakati huohuo wenzetu majirani wanatake advantage ilitakiwa kama kuna tatizo tuchukue hatua sasa kwasababu hii nchi ni ya wote!
safi sana criticle thinking
 
Back
Top Bottom