Kila mtu atafikiwa

Ni suala la muda tu. Mi5 tena
Ada ya kujisanili ni shilingi ngapi na watakuwa wanalipa ushuru Kila mwaka bei gani? Nakumbuka walishawahi kutambuliwa kuwa wao ni viwanda Sasa kwa nini kiwanda kisilipe ushuru?
 
Tumerudi kwenye enzi ambapo wamiliki wa baiskeli walikuwa wanalipishwa ushuru unaoitwa KIPANDE. Enzi hizo ole wako ukutane na askari mgambo ukiwa na baiskeli haina kipande!
 
Tumerudi kwenye enzi ambapo wamiliki wa baiskeli walikuwa wanalipishwa ushuru unaoitwa KIPANDE. Enzi hizo ole wako ukutane na askari mgambo ukiwa na baiskeli haina kipande!
Ilikiwaga shilingi ishirini tu. Nilikuwa nashuhudia mtu anashuka kwa baiskeri anakimbia nayo kwa miguu akimkimbia mgambo. Hali hii usiombe kabisa unatembea unaona mtu mzima anakimbia mgambo akiwa nyuma yake nakumbuka siku moja nami niliunga mbaya sana pasipokujua ni nini kinaendelea kumbe mtu mzima anamkimbia mgambo tokea siku hiyo nikiona vazi la mgambo nasisimka sana.
 
😄🤣
 
Kwani tatizo liko wapi?
Kuna mafundi wana pesa nyingi za ufundi na hakuna namna nzuri ya kulipa kodi.
Ukifanya ufundi ki locally hakuna atakayekusumbua.
Wewe unashonea nguo ma harusi , ma star unatengeneza mamilioni unataka uachwe tu?
Kila jambo mnapiga kelele kama mishoga mijinga mijinga ya kinondoni.
Nenda USA uone suala la mapato na kodi serikali yao ilivyo serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…