Lipa Kwanza
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 229
- 28
Mada zinginee muwe mnaletaa usiku....... Now tuna hitaji mada za kulefresh mind.....
Me nimelilia mapenzi we had sasa nimeamua niachane nayo mana yatanipa stress
Toka nimeachana na hayo madude, am very focused and very successfully.
mapenzi ni kutendwa, mpendaji jiamini
Sharo ukiona unapendwa sana jua Una nyota ya ukimwi ...