Hahahaaa amina, Mungu ni mwema tunamshukuruYuko salama kabisa kalala sasa anaota vipepeo angani
Sijakutenga baba mima sema tupo busy na msiba tu wa mnyangr wetu AggyMie nimzm wa Afya na mima ni mzima wa afya..... Punguza kunitenga mama G.
Ohoooo polen sana , Ardhi haijawah kushiba aseee.Sijakutenga baba mima sema tupo busy na msiba tu wa mnyangr wetu Aggy
Asantee si unajua tumepoteza ile churaOhoooo polen sana , Ardhi haijawah kushiba aseee.
Nmekumisimo .
Ameen natumain na nyie wazima kabisa na mmeoHahahaaa amina, Mungu ni mwema tunamshukuru
Tunamshukuru Mungu sana huku kwema kabisa, sahizi twahangaika na matumbo tuAmeen natumain na nyie wazima kabisa na mmeo
Basi mzembe sanaMi nishabakiza sekunde moja nimpige mke wangu, nlivyogundua nimekosa ustahimilivu nikaondoka hom siku nzima. Ilikuwa hivi.2012 nlikuwa na ujenzi wa nyumba yangu tena kwa hela ya mkopo benki ya posta. Yeye alikuwa likizo maana ilikuwa jun. Na mm sikuwa na likizo. Basi mafundi walikuwa wanamimina jamvi kwa ajili ya kuanza kujenga matofali. Sa you know jamvi linakula cement kama kichaa, nikawa nimeshusha mifuko 60. Nikamwacha wife asimamie. Mm saa nne nimetoka kunywa chai nikajisogeza site. Nakuta mafundi wapo peke yao wananiambia natakiwa kuongeza cementi kwani ilopo itaisha kazi haijamalizika. Kuuliza shemeji yenu yupo wapi eti kaenda nyumbani toka kitambo. Nikamfsta nakuta amelala, nikamwuliza iweje uwaacha mafundi peke yao. Akanijibu anajisikia kuchoka kukaa huko. Daaaaaaaaaah, nliskia kitu kimenibana kifuani namwambia ainuke arudi mifuko zaidi ya 10 ishatembea, ananiambeia amechoka. Yaan nlitamani nimmeze.na huku mfuko mmoja tulikuwa tunanunua kwa elf18. Toka siku hiyo kila kitu huwa nafanya sihusishi. Simply huwa namkabidhi tu atumie
Hangaika mamaTunamshukuru Mungu sana huku kwema kabisa, sahizi twahangaika na matumbo tu
Asante mama[emoji16][emoji16]Hangaika mama
dah mjomba umefanya nifukuzwe ofisini na bosi.Maisha yangu yote sijawahi kumpiga mwanamke na haitatokea!ingawa wana midomo mirefu inabidi umchimbe mkwara sumtime kwamba sijawahi kukupiga siku nikikupiga naua kabisa!mdomooo unalopokaa weee ukimtisha km unamfata tu yuko uvunguni siku nyingi sana anaanza kuongelea huko huko NIGUSE SASA UONE UNAFKIRI NAKUOGOPA!!inabidi ucheke kisha uende baa ya jirani kuvunja kichwa
Binafsi nikiona mwanamke anapigwa au hata picha yakuchora inayomuonesha mwanamke akipigwa huwa nahisi huzuni sana..! Roho inaniuma sana, nawaoneaga huruma sana.....!
Wanawake sisi wapole sana ila tunapoonewa ni wanyama haswaaBinafsi nikiona mwanamke anapigwa au hata picha yakuchora inayomuonesha mwanamke akipigwa huwa nahisi huzuni sana..! Roho inaniuma sana, nawaoneaga huruma sana.....!