Kila mtu ana size yake

Kuna mmoja niliwahi kumkosea, basi adhabu alio nipaga..... Alinipa papa siku nzima bila kula wala kunywa chochote....[emoji29] [emoji29]
 
Maisha yangu yote sijawahi kumpiga mwanamke na haitatokea!ingawa wana midomo mirefu inabidi umchimbe mkwara sumtime kwamba sijawahi kukupiga siku nikikupiga naua kabisa!mdomooo unalopokaa weee ukimtisha km unamfata tu yuko uvunguni siku nyingi sana anaanza kuongelea huko huko NIGUSE SASA UONE UNAFKIRI NAKUOGOPA!!inabidi ucheke kisha uende baa ya jirani kuvunja kichwa
 
Ahahahahah
 
Waoga mpo wengi.

Ujasiri nyuma ya keyboard tu.

Ana kwa ana mnaanza kutetemeka na kuhara.

Dumb.
 
Daaah kumpiga mwanamke nikukosa diplomasia kabisa,,,

Mwanamke ukitumia lugha nzuri ya ushawishi hakika atakwambia upungufu au chanzo cha tatizo husika,,,


Huwa nawachukulia kama Computet hususani kwenye kutambua hitilafu zao wenyewe,,,,,


Chanzo kikuuu cha matatizo ya wanawake ni Wivu,,,,Tamaa,,na Kukosa umakini na Roho za Uchoyo.
 
Ha ha ha utasikia nyooo eti mwanaume hivi wanaume huwaoni mtaani; hebu nipishe hapa mwanaume suruali...

Tena usiniguse usije nitia ngudu bure bwanaangu akaniacha.......

Hapo mzee kunywa maji sepa home kabla hujaua....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…