Kila mtu ana hofu

MANYORI Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2012
Posts
462
Reaction score
343
Juzi nilikiwa ninatazana taarifa ya habari ITV saa 2 usiku.Pana habari ya Mh.Jafo akiwa Handeni -Tanga na akikagua baadhi ya miradi wilayani humo.
Kilichonishitua na kunionesha kuwa kila mtu ana hofu ni jinsi Mkuu wa Wilaya Mh.Double G alivyokuwa anatetemeka-sijui au alivyokuwa na hofu.
Kwa mtu makini unaweza kugundua hali aliyokuwa nayo Mh.Double G wakati akipokea maelekezo kutoka kwa Boss wake.Hii inamaanisha kuwa KILA MTU ANA HOFU maana ule siyo utii wa kawaida wala adabu ya kiutendaji.
Swali ni kuwa,HOFU ililetwa na nini kwa Mh.Double G? Alikuwa anahofu nini?
 
Naiombea hofu iwaandame chadema mpaka waache kutetea mafisadi
 

Sisi watumishi wa sirikali ndivyo tulivyo. Ni mwendo wa kujitetemesha tu bila sababu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…