Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,185
- 7,490
Kwa wale wanaopenda mijadala ya hoja, uchambuzi, na vitu hasaa wafuatilie video hizi, baada ya kuziangalia watagundua kuwa wamejifunza kitu muhimu na hata staili yao ya kufikiri juu ya Tanzania na muelekeo wake itabadilika.
Wataelewa mambo ambayo hukuyaelewa hapo kabla, na utajifunza baadhi ya mambo yanayotokea na kwa nini yanatokea kama yanavyotokea. Utaelewa kwa nini kila mtu anaamua kufanya anachofanya kama vile anavyofanya.
NB: Unatakiwa uwe na utulivu wa akili ili uelewe.