Pole mkuu jaribu kushusha viwango yaan watongoze wanawake wenye level za chiiini sana uone nao wakikukataa njo mpanda nikupeleke kwa mtaalam utakuwa umelogwa wewe.
Funga safari mpaka Zanzibar kuna kipande cha bahari maarufu sana kinaitwa NUNGWI, Kakoge pale nakuhakikishia nuksi ulonayo itakutoka na hutopata tena nuksi katika maisha yako.
Kutongoza! Yani wewe mpaka leo unang'ang'ana na kutongoza tu?!, kutongoza zilipendwa mjombaaa. Sasa hivi hao wanawake wa kuwatongoza hawapo tena, mwanamke unamtongoza hata kucha hang'ati, yeye anakutumbulia mimacho mwanzo mwisho kama mjusi aliebanwa na mlango anasubiri wokovu wa msamalia mwema.