Kila la kheri Zanzibar kuelekea uchaguzi wa marudio wa tarehe 20/3/2016

lopinavir

Senior Member
Jul 11, 2015
186
121
Tunawatakia kila la kheri ndugu zetu wa damu huko Zanzibar katika uchaguzi utakao fanyika siku ya kesho(20/3/2016),uchaguzi uwe wa amani na upendo....!!Hofu ya Mungu ijae Mioyoni mwenu.

-Upendo utawale wakati wote.....maana mkiwa na upendo kwa kila mmoja wenu basi hayupo atakae jaribu kuvuruga amani yenu.

-Tupo pamoja nanyi wakati wote,asiwepo mtu wa kuwavuruga wala kuwatenganisha.

-Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom