Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri wanafunzi wote wa kidato cha nne. Ambao kesho tarehe 5 November 2018 watakaa kwa ajili ya mithiani yao ya mwisho.
[emoji16][emoji16][emoji16]Me pia .maana new totoz zina rudi kitaaa hasa zile za boarding [emoji39][emoji39][emoji39]