Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,841 May 1, 2014 #61 ABBY MWINU.....wahehe hawana masihala aisee.
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,581 Reaction score 20,216 May 1, 2014 #62 FaizaFoxy said: Naomba kukuuliza? "kheli" kama ulivyoandika kwenye kichwa cha habari yako, na "kejeri" kama nilivyoiwekea nyekundu hapo juu, ndio vyakula vipi? Click to expand... ni vyakura vya asiri vinariwa na mchere
FaizaFoxy said: Naomba kukuuliza? "kheli" kama ulivyoandika kwenye kichwa cha habari yako, na "kejeri" kama nilivyoiwekea nyekundu hapo juu, ndio vyakula vipi? Click to expand... ni vyakura vya asiri vinariwa na mchere
Chauro JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 2,968 Reaction score 1,478 May 2, 2014 #63 mabwakuuu.....pole sana na wewe tafuta mnyonge ummegee:baby:
vanmedy JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 2,707 Reaction score 1,417 May 2, 2014 #64 Abdulhalim said: ..kama hiyo njemba iliyomuacha ilimuona mbahili, basi mie namuona mshamba wa teknolojia Click to expand... ahahahahaaa...umeua kaka
Abdulhalim said: ..kama hiyo njemba iliyomuacha ilimuona mbahili, basi mie namuona mshamba wa teknolojia Click to expand... ahahahahaaa...umeua kaka
M mjasiria2mbo Member Joined Apr 23, 2014 Posts 43 Reaction score 18 May 2, 2014 #65 Ila kuna watu mnapenda vbaya aiseeeee!!!! Walivokuwa wengi namna hii mie nkajbane bane kwa akina abinel cjui abeli wa kazi gan tena??? Ukimwaga mboga namwaga ugal ngoma drooo
Ila kuna watu mnapenda vbaya aiseeeee!!!! Walivokuwa wengi namna hii mie nkajbane bane kwa akina abinel cjui abeli wa kazi gan tena??? Ukimwaga mboga namwaga ugal ngoma drooo