Kila la heri wazanzibar katika uchaguzi wa marudio!

CCM wamedhihirisha kwamba hawakubali kushindwa. Hii inaonekana kwenye ubakaji wa demokrasia kule Zanzibar na hata kwenye suala la umeya hapa Dar es salaam. Wao wanalazimisha kutawala hata kama wakikataliwa na wananchi. Magufuli naye yupo kimyaaaaa. Apende na asipende ni lazima atawaliwe na meya toka UKAWA kwenye jiji analoishi, kama vipi ahamie Dodoma.
 
Jingalao unajitahidi kujifanya chizi, jiunge bongo movie
Wewe ndio unaACT uchizi...kwani hujui kuwa Rais na wawakilishi kule Zanzibar wanachaguliwa kesho baada ya uchaguzi wa awali kuvurugwa?
 
SAFI SANA JF NAONA MODERATORS WAMEAMUA KUFUTA NYUZI ZOTE ZINAZOHAMASISHA VURUGU KWA WAZANZIBARI.
Unapohamasisha vurugu ili watu wauane ni kwa faida ya nani hasa?

Zenj palikuwa na mkwamo ...Solution pekee ya kutoka hapo ni kurudi kwenye uchaguzi ili anayependwa apigiwe kura...hata mazungumzo yangefanywa mwisho wake ni uchaguzi...kesho ni siku ya maamuzi kila la kheri kwa wazenj
 
Wachache sana wanaelewa hayo. Kuna watu humu kuona damu au vurugu kwao ni sherehe kibaya zaidi wako hotelini au nyuma ya keyboard.

Japo kuwa wewe ni jingalao ila big up sana hapa umeprove kuwa ur GT
 
Hatimaye hali ni shwari kabisa pamoja na habari za vurugu zilizotaka kulazimishwa kuwa vurugu...I feel Sorry for ITV na wengine waliotaka kuona fujo..
 
Back
Top Bottom