SafiKessy Man of the match
Naunga mkono hojaTaifa stars BADO sana bora wachukue timu nzima ya simba ibadilishwe iwe TAIFA stars.
Sanaaa, yaani kama vile uwanjani alikuwa mwenyewe.Kajituma sana
Ata wange jituma kiasigani gep ni kubwa katiyetu na Senegal, wao timu nzima wanacheza Ulaya mbaka Bench. Sasa kocha afanyaje na wachezaji wetu karibu wote wa mchangani. Wametuzid Nguvu na uwezo wa kimpira.Ni kweli, ila kwa hapa tuna tatizo la kocha kuliko wachezaji
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Next game labda tutaelewana zaidi tulinde na kupata pointSanaaa, yaani kama vile uwanjani alikuwa mwenyewe.
Team gani? Leo kajitahidi kwa kweli. Ingawa kapata kadi ya njano.Huyo anacheza nje mkuu
Inaitwa mkana ipo Zambia ligi kuuTeam gani? Leo kajitahidi kwa kweli. Ingawa kapata kadi ya njano.
Thank you.Inaitwa mkana ipo Zambia ligi kuu
Keita anacheza Monaco ila yupo Intermillan kwa sasa kwa mkopo.Nawakumbusha tu jamani
Kikosi cha SENEGAL 🇸🇳 kilichipo humo
1. Mendy - Rennes, France
2. Wague - Barcelona, Spain
3. Sabaly - Bordeaux, France
4. Sane - Shalke, German
5. Koulibay - Napoli, Italy
6. Ndiaye - Galataslay, Turkey
7. Sar - Rennes, France
8. Gana - Everton, England
9. Niang - Rennes, France
10. Diata - Bruge, Belgium
11. Keita Balde - Juventus, Italy.