Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Wazalendo
IMG-20190623-WA0007.jpeg
 
Mpira umekwisha

Dakika ya 90 + 3

Senegal 2 - 0 Tanzania

Senegal wanaoesha mpira wa ki professional kabisa maana hawana dharau wala rafu za ovyo.

Live toka uwanjani team Bongo Zozo

Source : Bongo Zozo
 
Hatimaye timu wazalendo tutalala na viatu! Haina shida ndio mpira huo ila hawa viungo wa Amunike ........
 
Dah! Bora hata hizi goli 2 tulizofungwa. Mziki upo kwa Algeria! Sijui watatupiga ngapi! Majirani zetu wa Kenya huenda wakatuonea huruma na hivyo wakatupa tu hata sare! Kuondoka bila hata pointi moja, itakua ni muendelezo wa aibu kama ilivyokua kwa vijana wetu wa U17.
 
Umeisha mpira?
 
Hatuna timu hapa, nimeangalia burundi, madagasca watu wanajituma mbaya sisi watu wanatembea uwanjani + kocha kisirani. Msiwe mnatuhamasisha kuangalia mipira inayoleta hasira.
 
Kocha tangu akabidhiwe timu hajawahi kumiliki first eleven halafu tutegemee maajabu! Yeye kila mechi ni majaribio! Nadhani anachangia kwa kiasi kikubwa timu yetu kucheza mpira wa kinyonge.
 
Tangu walivyoanza kuingia wanasiasa tu mi nikajua ndio basi tena.
CCM laana walipoingia wanasiasa wa ccm timu yetu imebeba hii laana na tutachapwa sana mpaka tutakapowafukuza huko Misri waje waendeleze madili yao ya kudanga na kuibia nchi. Maana ndiyo wanayoyaweza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom