Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Tutawafunga Algeria na Kenya..itatosha kusonga mbele

Tukijithidi labda tupate sare dhidi ya Kenya! ila magoli yako pale pale! Sisi kinacho tuangusha ni kicha Amunike! Tangu akabidhiwe timu, hana kikosi cha kwanza! Atakavyo amka siku hiyo, ndivyo atakavyo ipanga timu! Tofauti kabisa na timu nyingine mafano Uganda!
 
Mabadiliko mengine Emmanuel Amunike anafanya kwaTaifa Stars Dakika ya 84 Frank DOMAYO in Mudathir out . Matokeo bado Senegal 2- 0 Taifa Stars
 


Hahahhaha...mungu atasaidia tuwaamini wachezaji wetu wao pia wanatamani wafike mbali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…