nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,753
- 11,775
Duh haya wanayopigwa stars sio magoli ni mabao!
Hii ni hatari sana shehe!
Hii ni hatari sana shehe!
Hata haiangaliziki tena aseeh.Nipoooo! Nakuona na mnachungu ya Taifa Stars
Labda tukiamua kula ugali sio mpira.Tanzania tukiamua tunaweza.
Kabisa mkuu! Hii aibu isingetuhusu
Mkuu ina maana kama hivi wamefungwa ungeshindwa kula?Bahati nzuri kabla ya mechi kuanza,nilikuwa nilishamaliza kula na kuoga,baada ya hii mechi naenda kulala moja kwa moja.
Kuna mwenye updates za yule piere liquid?
Tanzania tukiamua tunaweza.