Yasin21
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 667
- 404
Sijamuelewa huyu kochaKulikua na haja gani ya kumuacha Mwantika mara ya kwanza,kamrudisha halafu kamuanzisha kama mchezaji tegemeo?
Sijamuelewa huyu kochaKulikua na haja gani ya kumuacha Mwantika mara ya kwanza,kamrudisha halafu kamuanzisha kama mchezaji tegemeo?
tupo pamoko!Team Senegal tujuane mapema.
Kuendelea nn mkuu?Huna Uzalendo Hutakiwi Kuendelea
Abood FM, Moro townNi radio gani inatangaza huu mtanange nifuatilie nikiwa hapa Kibhagamuchumu?
Bado hatujatupiwa?Timu haipo organized kabisa
Wachek kiss FM au TBC taifaNi radio gani inatangaza huu mtanange nifuatilie nikiwa hapa Kibhagamuchumu?
Huu siyo uzalendo mkuuUzalendo
Leo Ushindi Lazima
Ngoja niwasake, asante!Wachek kiss FM au TBC taifa
waaache wajifunze mkuu!! DKK ya 4 tumekoswa matatu!!!Hah wamekoswa gori 2 mpaka ss.
Katikati bila mkude sijuiii, pembeni bila Ajibu sijuiiiiiii