Kila kona ukuta

serikali ya ccm na magufuli wanaicheza ngoma ya Ukawa billion 23 tayari zimetumika.


swissme
 
Na mazoezi ya kufa mtu mbeya, busy na ukuta Kuan zia baba mpk wajukuu, kuhamia dodoma hamna tena Sasa ni ukuta Habari ya mjini kweli wanakwenda na matukio.shika hapa, shika hapa hiyo. Kwa nn unafanyia mazoezi mtaani hali Kuna viwanja vya mazoezi au ndo kutisha wanamitaaaa
 
Dah! Kuna watu wachokozii! Yaani hilo gari lilivyosheheni lakini analionyeshea vidole viwili!!....
 
JF uzi wa juu mpaka chini ni UKUTA
Advocacy ya UKUTA imefanywa na kila mtu kuanzia Rais hadi raia wa kawaida hukooo ushagooo. Hata wanyama wa kufugwa na wa mwituni nahisi wamehusika. Mpango umefanikiwa.
 
Advocacy ya UKUTA imefanywa na kila mtu kuanzia Rais hadi raia wa kawaida hukooo ushagooo. Hata wanyama wa kufugwa na wa mwituni nahisi wamehusika. Mpango umefanikiwa.
The most successful mission ever
 
31 August UKUMA Vs 1 September UKUTA

bonge la mechi!
Ni umoja wa Kumsifu Magu au nakosea? Nadhani ndiyo content ya yale maandamano kama nilivyonukuu kwenye media tangazo Lao, mimi sina ubavu wa kuandika kwa kifupi
 
Kweli nimeamini CHADEMA WANA kaulimbiu bora mfano M4C,MABADILIKO,PEOPLES_POWER NA SASA UKUTA dah n n0ma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…