Kila kiumbe kina haki ya kuishi na kusaminiwa.

Genderi

Senior Member
Dec 26, 2011
102
17

weather1.jpg

Two adult swans and six cygnets are seen wandering over the 'magic roundabout'
 
Hahaha animal rights hizo, huku kwetu binadamu hana right tunagongwa kila siku and its hit and run. Kuna ule usemi unaosema ni bora uwe mbwa nchi za watu kuliko kuwa binadamu huku kwetu. Now, Im starting to believe it.

Najua nitamezwa kwa hili
 
Yaani ingekuwa hii bongo yetu yaani hapo ni vipande vya nyama vimetapakaa kila mahali.
 
Swan wote UK ni mali ya Malkia,ukiwaua kazi kwako (hapo ni UK)
 
Hahaha animal rights hizo, huku kwetu binadamu hana right tunagongwa kila siku and its hit and run. Kuna ule usemi unaosema ni bora uwe mbwa nchi za watu kuliko kuwa binadamu huku kwetu. Now, I starting to believe it.

Najua nitamezwa kwa hili

MadameX, wala hakuna atakayekumeza ma dia, but nkuombe tu uwe makini usije ukakufuru.Mungu anasema yy ni wakuheshimiwa sana barazani pa wenye mizaha. ma dia usikufuru. mshukuru sana Mungu, kwa wewe kuwa hivyo ulivyo kisha mwombe akupe neema na baraka zake ili uish kwa ustawi na amani kwa ajili ya utukufu wake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom