Kumbuka hatupimi uhalali au uhalisi wa kuabudu hapa kaka.
Tunachojaribu kuonesha ni kama tu kuleta data ya ushahidi wa uwezo mkubwa wa kufikiria na kuimagine na kusanidi kweli mbalimbali na kuziamini.
Au kufundishwa hizo kweli na kuzing'amua na kuziamini na kuzitumia pamoja na u-tata wake, complexity.
Huyo ndiyo Homo sapiens