Kila kitu Makonda

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
19,018
Reaction score
27,556
Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kitu kimoja ukiona unazungumziwa Sana au unahofiwa Sana ujue una kitu special.

Nimekuwa mijadala hapa jamiiforum nimeona wakimchukia Sana makonda iwe Kuna kitu kafanya kizuri au kibaya kwao Ni kibaya na kuhusishwa kwa Mambo mengi mabaya.

Je, ni waulize huyu mtu kawafanyia Nini kawabaka wake zenu? au kawafanyia kitu gani kiasi Cha kibaya kiwe chake. Halafu cha ajabu wanaomchukia ni wanaume wenzake hii tabia ya kuchukiana bila sababu za msingi zinatoka wapi?

Kwanza kabisa ana maisha mazuri kuliko wewe unayembeza pia ana kazi nzuri inayoeleweka.Kama ishu ni vyeti feki mimi nitajuaje wewe pia ni mmoja wapo wa kuwa na vyeti feki sababu unatumia vyeti feki hizo chuki zenu kwa huyu jamaa haziwafanyi muwe matajiri tabu zenu zinabaki pale pale.
 
Mi nachoona makonda anafanya yake na kuongea yake,,sina sababu za kumchukia,
Mambo yake hayanidhuru kabisa,wala siumii kwa mambo yake wala haya nishughulishi kiviile.
 
Hata shetani huwa anazungumzwa sana, jambo lolote zuri au baya hupewa shetani, hii inatokana na gundu na tabia zake.
 
Eti eeenhh!!
 
Mi nachoona makonda anafanya yake na kuongea yake,,sina sababu za kumchukia,
Mambo yake hayanidhuru kabisa,,wala siumii kwa mambo yake wala haya nishughulishi kiviile,
We angalau inaonekana mstaarabu ila Kuna Uzi mmoja niliusoma mtoa mada alisema makonda adindi ndo maana azalishi huyu mtu unamuona kabisa katoka Kwenye chuki zake za kisiasa anaamia kwenye maisha binafsi hiv kwann Tanzania tuna tabia hizi na tunafaidika na Nini?
 

Kwa hiyo kazi nzuri kuliko ya Spika Ndugai????? mjini hapa sio yeye tu hata Sepenga watu wanamsarandia ndio mwambie akaze akilegeza itakuwa Shida.

Kama hutaki azingiliwe aache kuzingua tu ndio siasa ilivyo Mbona MO hachukiwi???
 
Kwa hiyo kazi nzuri kuliko ya Spika Ndugai????? mjini hapa sio yeye tu hata Sepenga watu wanamsarandia ndio mwambie akaze akilegeza itakuwa Shida.

Kama hutaki azingiliwe aache kuzingua tu ndio siasa ilivyo Mbona MO hachukiwi???
Wewe umejuaje kwamba mo hachukiw tuanze hapo Kwanza.
 
Joined 8th june 2019. Maliza kwanza hata miezi sita kusoma tu na kupitia threads mbalimbali katika majukwaa ya jf kabla ya kutafuta taarifa za watu wanasemaje Kwa id yako fake.
 

Attachments

  • Screenshot_20190628-084821.png
    56.5 KB · Views: 26
Sasa we mwenyewe mbona umemzungumzia.....Au wewe Ndo katika ile team aloisema Spika
 
mi nikutafute wewe ili iweje ??
Ngoja nakushauri hizi itikadi zenu za kisiasa zingekuwa Zina faida kwenu zingewanufaidisha Sana mngekuwa mmefika mbali Sana kimaisha bahati mbaya zinawapumbaza akili zenu mnakuwa hampo huru kimawazo nakufikiri kila mtu anapokuwa ana mawazo tofauti na zenu mnafikiri umetoka upande mwengine wa kisiasa lakini pia zinawapotezea muda kutokana na hili mnashindwa kuongeza ufahamu mpya tofauti na unachoamini.Badilika mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…