Kila kazi na kasheshe lake jamaniii!!!!!

Kila kazi na kasheshe lake jamaniii!!!!!

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
[h=3]KILA KAZI NA KASHESHE ZAKE..NA HAWA HUKUTANA NA HAYAA.[/h]
​
Mamodel nao wakati wakuonyesha mavazi hukumbana na haya....​
​
Disigner kabuni viatu vyake japo ni kazi za wenyewe wanajimudu kutembelea lakini kama hili linaweza kutokea.​
​
​
Nina uhakika akitoka hapo anajisikia vibaya sana kuanguka mbele za watu.​
​
Hapa mguu ushageuka dada anajitahidi asianguke.​
​
Hapo unatakiwa utembee kwa mwendo wa mbwembwe na madaha uonyeshe nguo au viatu kwenye hiyo runway ghafla umekosea step mguu pwaaa chini.Kila kazi ina changamoto zake kwa kweli na tuheshimu kazi za wengine.Usione kama kazi yako ni nzuri na bora kuliko ya mwenzako.
​
 
Hiyo pic ya kwanza nadhani njaa nayo inachangia. Hao wadada wanaonekana hawajala kitu cha maana tangu huu mwaka uanze!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom