Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 443 Reaction score 18 Feb 19, 2010 #1 Hii kali....Mkubwa safarini Greece n Jordan, huku wafanyakazi wa TRL mpaka ss hawajapata mishahara yao.... Mhh!!!!!!!!!!!.......
Hii kali....Mkubwa safarini Greece n Jordan, huku wafanyakazi wa TRL mpaka ss hawajapata mishahara yao.... Mhh!!!!!!!!!!!.......
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,100 Feb 19, 2010 #2 Unashangaa nini? Ndivyo alivyo.
Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 443 Reaction score 18 Feb 19, 2010 Thread starter #3 Lumbe said: Unashangaa nini? Ndivyo alivyo. Click to expand... Ha ha ha............. Wawalipe basi jamaa wa watu kama za kusafiria zipo.
Lumbe said: Unashangaa nini? Ndivyo alivyo. Click to expand... Ha ha ha............. Wawalipe basi jamaa wa watu kama za kusafiria zipo.
S samvande2002 JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 413 Reaction score 35 Feb 19, 2010 #4 kaenda kutafuta hela ya kuwalipa; kaenda ktafuta wawekezaji,kukagua gwaride na mambo mengine kama hayo
kaenda kutafuta hela ya kuwalipa; kaenda ktafuta wawekezaji,kukagua gwaride na mambo mengine kama hayo
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,275 Feb 20, 2010 #5 tuacheni sisi ccm tutese na lazima mtuchague tena october 2010.wivu tu unawasumbua wacha tule nchi yetu,kwani hamjui kuwa nchi hii ina wenyewe? na wenyewe ndo sisi ccm kama unabisha subiri uone ntakavo shinda kwa kishindo
tuacheni sisi ccm tutese na lazima mtuchague tena october 2010.wivu tu unawasumbua wacha tule nchi yetu,kwani hamjui kuwa nchi hii ina wenyewe? na wenyewe ndo sisi ccm kama unabisha subiri uone ntakavo shinda kwa kishindo
2c2 Member Joined Nov 5, 2009 Posts 98 Reaction score 6 Feb 20, 2010 #6 sa ivi upo kikampeni zaidi, msubirini akirudi tu siku hiyo hiyo wanalipwa, mtajuaje anafanya kazi bila kuwa na matatizo kama haya?
sa ivi upo kikampeni zaidi, msubirini akirudi tu siku hiyo hiyo wanalipwa, mtajuaje anafanya kazi bila kuwa na matatizo kama haya?